Zaidi ya familia 50 kukesha kwenye baridi baada ya nyumba zao kubomolewa Uasin Gishu

KTN News Aug 24,2018


View More on Dira ya Wiki

Zaidi ya familia 50  ya maskwota watalazimika kukesha kwenye kijibaridi  baada ya nyumba zao kubomolewa na maafisa wa polisi katika eneo la block ten kaunti ya Uasin Gishu. 

Familia hizo sasa hazina pa kwend huku wakilalamikia jinsi maafisa hao walitumia nguvu kupita kiasi ili kuwafurusha.