×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Wakazi wa Ongata Rongai walalamika kuhusu hali mbaya ya barabara katika eneo hilo

23rd August, 2018

Wenyeji katika eneo la Ongata Rongai kaunti ya Kajiado, wanalalamikia muda mrefu unaotumiwa kutengeneza barabara ya kataka. 

Barabara hiyo ambayo kwa sasa iko katika hali duni ilikuwa itengenezwe kutoka eneo la Ongata Rongai hadi Embulbul. 

Wahudumu wa pikipiki pamoja na madereva wa magari wanalalama kuwa hali mbaya ya bara bara hiyo inawaharibia magari pamoja na pikipiki. Umbali unaofaa kutengenezwa ni wa zaidi ya kilomita kumi na moja. 

.
RELATED VIDEOS