Matayarisho ya kuhitimu kwa mahafala wa Chuo kikuu cha Moi

KTN News Aug 23,2018


View More on Leo Mashinani

Maandalizi ya hafla ya kuhitimu kwa zaidi ya mahafala 1,000 kwenye chuo kikuu cha moi mjini eldoret yamekamilika huku naibu mpya mkuu wa chuo hicho profesa isaac kosgei akiratibiwa kutawazwa rasmi hapo kesho wakati wa maadhimisho hayo. Viongozi mbalimbali kutoka kwenye wizara ya elimu na wanasiasa wa eneo hilo wanatarajiwa kuhudhuria hafala hiyo anavyoelezea mwenyekitibwa bodi ya usimamizi wa chuo hicho daktari jeremiah ntoloi ole koshal. Process kosgei ambaye alichukua usimamizi wa chuo hicho kutoka kwa profesa laban ayiro aliyeongoza chuo hicho kikaimu kwa muda wa mwaka mmoja,ameeleza furaha yake na kuwasihi wa mbali na karibu kuhudhuria.