×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Kenya inakabiliana na mzigo wa maambukizi mapya ya virusi vya Ukimwi

22nd August, 2018

Kenya ingali inakabiliana na mzigo unaotokana na maambukizi ya virusi vya Ukimwi licha ya kiasi kikubwa cha uwekezaji katika afya ya umma.

Kwa mujibu wa Wizara ya Afya, zaidi ya watu elfu hamsini (50,000) wanaoishi na virusi vya Ukimwi hufariki kila mwaka huku takwimu zikionyesha kwamba asilimia kumi na tano ya vifo hivyo miongoni mwa watu wazima hutokana na magonjwa yanayoambatana na Ukimwi. 

Akizungumza wakati wa kuzindua mwongozo wa kitaifa wa kukabiliana na tishio la virusi vya Ukimwi Katibu wa mipango katika Wizara ya afya rashid aman amesema kwamba hiv ingali changamoto kubwa katika afya ya umma.

.
RELATED VIDEOS