×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Jamii ya Waislamu Malindi wamkosoa Duale

22nd August, 2018

Jamii ya Waislamu huko Malindi imemshutumu kiongozi wa wengi bungeni Aden Duale kwa kuingilia masuala ya dini. Imamu wa msikiti wa Jamia huko Malindi Sheikh Feisal Mohamed Alamoudy, aliyesimamia ibada ya siku kuu ya Eid Al Adha hapo jana, amesema kwamba si vyema kumuingilia Kadhi mkuu kwenye masuala ya dini na hivyo kumtaka Duale kukoma kuendeleza semi zinazoonekana kukosa heshima kwa uongozi wa dini.

 

.
RELATED VIDEOS