×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Vurugu Kampala, wafuasi wa Bobi Wine wataka aachiliwe: Mbiu ya KTN Mkusanyiko wa habari

20th August, 2018

 Mji mkuu wa Uganda, Kampala umeshuhudia vurugu hivi leo 
 baada ya jeshi pamoja na polisi kufyatua risasi za moto 
 pamoja na mabomu ya kutoa machozi kuwatawanya  wafuasi 
 wa mbunge wa upinzani Robert Kyagulanyi Ssentamu 
 almaarufu Bobi Wine. Wafuasi hao wamezua vurugu na 
 kufunga baraba katika mji wa kampala kulalamikia hatua ya 
 serikali kuendelea kumzuilia Bobi wine ambaye amefunguliwa 
 mashtaka ya uhaini

 

.
RELATED VIDEOS