×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Naomi Shaban akanusha alipokea hongo

20th August, 2018

Sakata ya rushwa bungeni kuhusu ripoti ya uagizaji wa sukari ya magendo inazidi kuwaandamana wabunge ambao wanadaiwa kupokea shilingi alfu kumi kupinga ripoti ya kamati ya bunge  iliyokuwa ikichunguza sakata hiyo.

Sasa mbunge wa taveta Dr. Naomi Shaaban aishutumu kamati iliyotayarisha ripoti hiyo kwa kufanya kazi duni na kukanusha madai kuwa yeye ni mmoja wa wabunge waliopokea hongo kuipinga ripoti hiyo.

.
RELATED VIDEOS