×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Robert Kyagulanyi (Bobi Wine) hayuko katika hali mbaya : Museveni

20th August, 2018

Rais wa Uganda Yoweri Museveni amekanusha vikali ripoti kwamba mwanamuziki na Mwanasiasa Shupavu Robert Kyagulanyi Ssentamu almaarufu Bobi Wine yuko katika hali mbaya akiwa kizuizini.  Katika taarifa kwa vyombo vya habari kwa mara ya kwanza akizungumzia swala la kukamatwa kwa mbunge huyo museveni ametaja ripoti za vyombo vya habari kwamba bobi wine alipigwa vibaya na kwa sasa yuko mahututi baada ya baada ya vurugu za kisiasa zilizotokea katika eneo la arua ambapo mlinzi wake pia aliuwawa kwa kupigwa risasi na polisi kuwa taarifa za uongo. Tunajiunga na Roland Ebole, mtafiti wa maswala ya kibinadamu nchini uganda na tanzania katika shirika la amnesty international.

.
RELATED VIDEOS