Je ulinzi wa wanasiasa uko vipi? | Siasa za Kanda (Sehemu ya Pili)
19th August, 2018
Siasa za Kanda inaangazia hali ya ulinzi wa wanasiasa katika kanda la Afrika Masharikii. Kumekuwa na visa vya walinzi wa wanasiasa kuuwawa huku kisa cha hivi karibuni kikiwa kile cha dereva wa Boby Wine kuuwawa Uganda.