×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Rais mstaafu Daniel Toroitich Arap Moi atoa rambi rambi zake kwa familia ya marehemu Kofi Annan

18th August, 2018

Rais uhuru kenyatta, kiongozi wa ODM Raila Odinga na Rais mstaafu Daniel Toroitich Arap MKoi wametuma risala za rambirambi kwa familia ya mwendazake Koffi Annan.

Katika taarifa kwa vyombo vya habari Moi amesema kuwa amehuzunishwa na kifo cha Annan na kutaja kuwa Afrika nzima imepata pigo kubwa sawa na dunia. Ameongeza kuwa alikuwa mfanyikazi mtifuu aliyependa kuwa mpatanishi wa amani mizozo ilipoibuka. 

Aidha amesema mchango wa Annan katika ngazi ya diplomasia ni mkubwa sana

.
RELATED VIDEOS