17th August, 2018
Tume ya kupambana na ufisadi nchini EACC imewasilisha ripoti yake kwa waziri wa afya Sicily Kariuki kuhusu mifumo ya ununuzi na uuzaji wa dawa na vifaa vya afya nchini. Ripoti hio imependekeza kuundwa kwa kamati itakayo hakikisha ripoti hio imetekelezwa.