×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Wenyeji wa mtaa wa Runda wapinga ujenzi wa bwawa la maji

17th August, 2018

Wenyeji wa mtaa wa Runda wamepinga ujenzi wa bwawa la mtu binafsi katika eneo hilo. Kupitia shirika linaloangazia maswali ya wakazi wa mtaa wa runda, zaidi ya wenyeji mia mbili  wameiandikia serikali ya kaunti ya nairobi wakielezea hatari itakayosababishwa na ujenzi wa bwawa hilo ikiwa ni pamoja na kuzuka kwa maradhi ya malaria. 

 

.
RELATED VIDEOS