×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Gavana wa Embu Martin Wambora ashinda kesi yake dhidi ya Kivuti

17th August, 2018

Ni afueni kwa Gavana wa Embu Martin Wambora baada ya mahakama ya rufaa kubatilisha uamuzi wa mahakama kuu na kushikilia kuwa ndiye aliyeshinda kiti hicho katika uchaguzi wa mwaka jana. Wambora aliwasilisha ombi lake katika mahakama ya rufaa baada ya ushindi wake kufutiliwa mbali na mahakam kuu tarehe kumi na tisa mwezi septemba mwaka jana. Ushindi wake ulikuwa unatiliwa shaka na mwanasiasa Lenny Kivuti. 

 

.
RELATED VIDEOS