×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Dereva wa Mbunge wa Likuyani Dr. Eibunguchy auwawa kwa kupigwa

13th August, 2018

Polisi wanachunguza kisa ambapo dereva wa mbunge wa 
Likuyani Dr. Enoch Eibunguchy aliuawawa kwa kupigwa risasi na watu wasiojulikana usiku wa kuamkia leo katika eneo la Soy kwenye barabara ya Eldoret   kuelekea Kitale. Inaarifiwa kuwa  huenda wavamizi hao walikuwa wakimlenga .

.
RELATED VIDEOS