×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

KWS yatetewa na kundi la wanaharakati

12th August, 2018

Kundi moja la wanaharakati wanaojihusisha na utunzi wa mazingira na haki  za jamii, sasa linadai kwamba ripoti ilyotolewa hivi majuzi kuhusu chanzo cha vifo vya vifaru waliokuwa wakisafirishwa kutoka nairobi hadi mbuga ya Tsavo, ilikusudia kuwaharibia jina madaktari wa mifugo nchini Kenya. Kundi hilo kwa jina, Kenyans4KWS, sasa linasema ni lazima shirika la KWS lipewe fedha za kutosha ili kuboresha utendakazi wake

 

.
RELATED VIDEOS