Simbas warindima huku wakiendelea kutafuta nafasi katinga kombe la dunia la raga
11th August, 2018
Timu ya taifa ya raga ya wachezaji 15 almaarufu kenya simbas imeweka hai matumaini ya kufuzu michuano ya kombe la dunia kwa kuititiga tunisia alama 67 kwa nunge kwenye mechi ya gold cup iliyochezwa leo uwanjani rfuea.