Kocha wa Tunisia asema kwamba timu yake iko tayari kuchuana na timu ya raga ya Simba

Sports | Friday 10 Aug 2018 8:11 pm

Kocha wa timu ya taifa ya raga Tunisia amewaonya Kenya Simbas kwamba vijana wake wapo ngangari na watafanya kila wawezalo kuchukua ushindi katika mechi ya kombe la gold cup Afrique