Mzozo wa eneo la Makina laanza katika kaunti ya Taita Taveta

KTN News Aug 10,2018


View More on Dira ya Wiki

Viongozi kutoka kaunti ya Taita Taveta wamekariri kuwa eneo la makina lipo katika ngome yao. Eneo hilo limekuwa likikumbwa na utata wa mpaka kiasi cha baadhi ya wakazi kukosa huduma muhimu ilihali. Hata hivyo katika taarifa kwa vyombo vya habari kaunti ya kwale imemshutumu gavana samboja kuandaa mkutano huo na kushikilia kuwa makina inasalia kuwa sehemu ya kwale. Je kuna nani?