×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Wafanyikazi wa kujenga barabara waanda mahandamano

7th August, 2018

Wafanyikazi wa kampuni ya ujenzi wa barabara ya chiko kutoka china  katika maeneo ya maili kumi, solai na subukia wamefanya maandamano kulalamikia kile wanachosema kuwa ni kunyanyaswa na kuhangaishwa na wasimamizi wa kampuni hiyo. Wafanyikazi hao wamesema kuwa  kampuni hiyo imekataa kuheshimu mkataba wa maelewano  na vyama vyao vya wafanyikazi na wenzao wamekuwa wakifutwa kazi bila notisi. Wasimamizi wa kampuni hiyo hawakupatikana mara moja kujibu shutuma hizo.

.
RELATED VIDEOS