Serikali imechelewa kuigiza dawa zinazozuiliwa JKIA

KTN News Aug 06,2018


View More on Leo Mashinani

Wakenya milioni mbili wanakabiliwa na hatari ya kupofuka  kutokana na mzozo wa uagizaji wa dawa  za thamani ya shilingi bilioni nne zilizotolewa kama msaada na shirika moja nchini marekani. Taarifa zinasema  dawa hizo zinazopaswa kuwasaidia watu maskini katika  12 zimekuwa zikizuiliwa katika uwanja wa ndege wa jomo kenyatta  kwa kipindi cha miezi kumi  baada ya serikali kuchelewa kuidhinisha   dawa hizo kuingizwa humu nchini.