Daudi Nzomo aliyeshambulia mke wake Makueni akubali kosa mahakamani
3rd August, 2018
Daudi Nzomo jamaa aliyenaswa kwenye video akimshambulia mkewe kwa ngumi na teke katika kijiji cha kyaaka kaunti ya Makueni amekubali kosa mbele ya hakimu James Mwaniki alipofikishwa mahakamani leo