3rd August, 2018
Mwenyekiti wa tume ya ardhi Mohammed Swazuri ametaja kampuni na wanaodai umiliki wa kipande cha ekari 12 katika jaa la taka la kibarani.Wamiliki hao sasa wapo na siku saba kuishawishi serikali jinsi walivyopata hati miliki za ardhi hiyo