Msanii Peter Okoye wa P-Square azuru kituo cha Texas Cancer Centre jijini Nairobi
28th July, 2018
Mwanamuziki kutoka Nigeria Peter Okoye wa kundi la P sqaure ni miongoni mwa wasanii waliofika kwenye maadhimisho ya miaka minane tangu kuanzishwa kwa kituo cha matibabu ya saratani cha Texas Cancer Centre jijini nairobi