28th July, 2018
Idadi ya piki piki za usafiri maarufu kama bodaboda inapozidi kuongezeka nchini, ndipo changamoto kama ajali na uhalifu zinazidi. Sasa muungano wa usalama wa bodaboda nchini umezindua teknolojia ya kunakili taarifa za kila pikipiki nchini kwa minajili ya kupambana na changamoto hizo