28th July, 2018
Mbunge wa likuyani daktari enoch kibunguchy amemrai kiongozi FORD Kenya Moses Wetangula kusalia kwenye muungano nasa licha ya tofauti zilizoko kati yake na kiongozi wa ODM Raila Odinga.
Haya na mengine mengi katika makala ya Mbiu ya KTN