27th July, 2018
Shindano la tano la teknolojia limeanza huku washindani wakiwa na uwezekano wa kujishindia kandarasi ya kibiashara ya kima cha shilingi milioni kumi awamu hii inalenga kuwapa nguvu vijana wanaosomea katika vyuo vya kiufundi .Jumla ya timu 27 kutoka vyo vya elimu barani africa zitapitia mafunzo ambapo vijana 108 watapata mafunzo mapya ya taaluma .