×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Kaunti ya Mombasa na serikali ya kitaifa watofautiana kuhusu umiliki wa bandari ya Mombasa

27th July, 2018

Mzozo kuhusu umiliki wa bandari ya mombasa unazidi kutokota. Serikali ya kaunti ya mombasa na ile ya kitaifa zimejipata katika njia panda kuhusu umiliki wa bandari. Lakini je umuhimu wa bandari ya mombasa kwa kaunti ya mombasa ni upi na je mbona kila mmoja atake kuiongoza bandari ya mombasa francis mtalaki analidadisi suala hili kindani.

 

.
RELATED VIDEOS