27th July, 2018
Maafisa wa usalama mjini meru wameweza kugundua mbinu mpya zinazotumika na wauzaji wa pombe haramu ili kuificha biashara yao. Kamishna wa kaunti wilfred nyagwanga amesema kuwa misako ya marakwa mara iliyofanywa na maafisa wa usalama imeonyesha kwamba wanaotengeneza na kuuza pombe hiyo wamekuwa wakitumia nyumba zinazojengwa ili kuweza kuificha