27th July, 2018
Nyumba 6 za washukiwa wa wizi wa mifugo zimechomwa huko Migori. Wakaazi waliamkia tukio hilo lililowashutua huku mmoja wa wakazi kwa jina Peter Oketh akikiri kuwa nyumba mmoja ilikuwa ya jamaa yake ambaye walimshuku kuwa mwizi sugu wa mifugo. Hata hivyo mkewe mshukiwa mmoja alisema kuwa bwanake alikuwa ameeondoka kwenda kazini katika shamba la miwa huko Awendo