27th July, 2018
Chama cha ODM kimetoa sababu zake za kumpa uteuzi wa moja kwa moja Ochillo Ayacko kugombea kiti cha useneta katika kaunti ya migori. Kiti hicho kiliachwa wazi kufuatia kufariki kwa seneta Ben Oluoch
Haya na mengine mengi katika makala ya Mbiu ya KTN