×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Zaidi ya familia 100 Lamu zakadiria hasara minazi ikikatwa kwa ajili ya ujenzi wa barabara

27th July, 2018

Zaidi ya familia 100 katika kijiji cha siyu kaunti ya Lamu zinakadiria hasara baada ya takriban minazi 250 kukatwa ili kutoa nafasi ya ujenzi wa barabara itakayounganisha kijiji hicho na eneo la shanga. Wakaazi hao ambao wamejawa na hasira wameilaumu serikali kwa kutowahusisha katika mipango ya ujenzi huo na badala yake waligutushwa tu kuona minazi yao imekatwa wakati wakienda shambani.

 

.
RELATED VIDEOS