×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Kifo cha kutatanisha katika mji wa Kisumu

23rd July, 2018

Familia moja mjini kisumu sasa inanyooshea kidole cha lawama hospitali ya rufaa ya kaunti ya Kisumu baada ya mtoto mwenye umri wa miaka miwili kufariki katika mazingira ya  kutatanisha. Martin curtis oyuga alikuwa akifanyiwa upasuaji wa kuirekebisha kasoro kwenye  kitovu au  umbilical hernia alipoaga katika chumba cha upasuaji.

.
RELATED VIDEOS