Matingatinga kuanza ubomoaji wa nyumba katika mtaa wa Kibera

KTN News Jul 23,2018


View More on Leo Mashinani

Wakaazi wa mtaa wa Kibera jijini Nairobi wamepigwa na butwaa baada ya matingatinga kutoka  kwa halmashauri ya ujenzi wa barabara mashinani ?kura kuanza ubomoaji wa nyumba zilozojengwa katika eneo lililotengewa ujenzi wa barabara.wenyeji walikuwa wamepewa ilani ya kuondoka lakini baadhi yao wakapuuza.