22nd July, 2018
Aliyekuwa rais wa Marekani Barack Obama, alizuru Kenya na akatembelea Kogelo, mahali baba yake Obama alizaliwa. Obama alikuwa nchini kwa hafla ya uzinduzi wa Sauti Kuu. Baada ya hayo aliondoka na kuizuru Afrika Kusini na kuhudhuria hafla ya kumkumbuka aliyekuwa rais wa nchio hio, marehemu Nelson Mandela.
Haya na mengine mengi katika makala ya Afrika Mashariki