×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

KNUT yatoa ilani ya mgomo wa walimu l Mbiu Wikendi

22nd July, 2018

Chama cha kutetea maslahi ya waalimu KNUT kimetoa ilani ya mgomo tarehe moja mwezi Septemba iwapo tume ya kuwaajiri waalimu TSC itashindwa  kushughulikia malalamishi pamoja na mapendekezo yaliyotolewa na waalimu kuimarisha viwango vya elimu nchini. Katibu mkuu wa KNUT Wilson Sossion, amesema ni sharti tume ya TSC itekeleze mpango wa kuwapandisha ngazi zaidi ya waalimu alfu thelathini  na kuondoa mikataba ya utendaji kazi.
Haya na mengine mengi katika makala ya Mbiu Wikendi

.
RELATED VIDEOS