Kwa nini idadi ya wazao kwa upausaji yaongezeka? I Kimasomaso (Sehemu ya Pili)
21st July, 2018
Wengi wana hofu kuwa kuongezeka kwa idadi ya wanaojifungua kwa njia ya 'Caesarean Section' ni kwa sababu ya biashara. Inasemekana kuwa mfumo huu huwa wa bei ghali.