21st July, 2018
Mbunge wa Tiaty William Kamket amemtaka kiongozi wa wengi katika bunge la seneti Kipchumba Murkomen kujiuzulu kwa kupuuza maagizo ya rais Uhuru Kenyatta. Kamket amesema kuwa ni makosa Murkomen kumhusisha kioongozi wa ODM Raila Odinga na kuhamishwa kwa maskwota wa Mau.
Haya na mengine mengi katika makala ya Mbiu Wikendi