20th July, 2018
Kwenye makala ya Mirindimo juma hili, Aisha Jumwa anaendeleza ngonjera ya mwelekeo wake wa siasa akisema asiye na jicho atie gololi huku katibu mkuu wa COTU Francis Atwoli akisema yeye sio Mugabe wa muungano wa vyama vya wafanya kazi