Mabondia wa klabu ya Nakuru waingia kwenye mkataba na shirikisho la ndondi la Ufaransa
20th July, 2018
Mabondia wa klabu ya Nakuru wameingia kwenye mkataba na shirikisho la ndondi la Ufaransa, nia kuu ikiwa ni kuinua hadhi ya ndondi nchini, haswa katika kaunti ya Nakuru