20th July, 2018
Bingwa wa Afrika katika mbio za mita elfu kumi Alice Aprot ananuia kutetea ubingwa wake katika awamu ya ishirini na moja ya mashindano ya riadha ya ubingwa Afrika, ambayo yataandaliwa nchini Nigeria kuanzia tarehe moja hadi tano mwezi Agosti