.
19th July, 2018
Mahakama kuu imemhukumu kifo Ruth Kamande Wanjiru kwa kumuua kwa kumdunga mpenziwe kwa kisu mwaka wa 2015 , mwanahabri wetu Hussein Mohammed amefuatilia taarifa hii kwa kina na sasa anatuarifu kuhusiana na tukio hilo la huba ya jinai.