Kocha wa Gor Mahia Dylan Kerr amesema kuwa kikosi chake kimejiandaa kukabiliana na Yanga
17th July, 2018
Kocha wa Gor Mahia Dylan Kerr amesema kuwa kikosi chake kimejiandaa ipasavyo kukabiliana na Yanga kwenye mechi ya dimba la mashirikisho. Gor Mahia wanahitaji alama tatu ili kuweka hai matumaini yao ya kufuzu awamu ya robo fainali.