×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Msanii wa nyimbo za Ohangla, Emma Jalamo anataka kubadilisha dhana ya Garissa

17th July, 2018

Maswala ya sanaa na eneo la Garissa kaskazini mwa nchi kwa siku nyingi limekuwa likizingatiwa kuwa mojawepo ya maeneo hatari kutokana na mashambulizi ya mara kwa mara ya kundi la kigaidi la alshabaab. Wengi wamekuwa wakiliepuka eneo hilo. Lakini Msanii wa nyimbo za Ohangla Emma Jalamo anataka kubadilisha dhana hiyo, amekuwa katika mji wa garissa kuwatumbuiza mashabiki kwa nyimbo zake.

.
RELATED VIDEOS