Makasisi watatu wasimamishwa kazi kwa madai ya kuwa na penzi ya jinsia moja

KTN News Jul 17,2018


View More on Leo Mashinani

Askofu mkuu wa kanisa la kianglikana, joseph ole sapit amezuru jimbo la mlima kenya magharibi na anatarajiwa kuzungumzia mgogo unaokumba kanisa hilo baada ya  Askofu Joseph Kagunda  kufikishwa mahakamani kwa hatua yake ya kuwasimamisha kazi  makasisi watatu kwa madai kuwa wanashiriki mapenzi ya jinsia moja.