Hofu yatanda Kibera huku ubomoaji ukitarajiwa kuanza

KTN News Jul 15,2018


View More on KTN Leo

Hofu na suitafahamu imewakumba wakazi wa mtaa wa kibera kufuatia ilani ya kuwataka waondoke kufikia hapo kesho ili kuruhusu ujenzi wa barabara. Ingawa baadhi wameanza kuondoka kwa kuhofia kubomolewa nyumbazao, wengine wameshindwa kuhama wakisema wamelemewa kifedha