.
15th July, 2018
Aliyekuwa rais wa Marekani, Barack Obama amewasili nchini na anatarajiwa kusafiri kwenda Kogelo siku ya Jumatatu. Siasa za Kanda inaangazia jinsi matayarisho ya kumkaribisha Obama yamefanywa Siaya