Awamu ya pili ya mashindano ya magari ya kukwea milima yazinduliwa
13th July, 2018
Awamu ya pili ya mashindano ya magari ya kukwea mlima yamezinduliwa hii leo jijini Nairobi.Mashindano haya,yatangoa nanga tarehe nne mwezi wa nane kule Aberdare Hills Golf Resort