Alfred Keter aponea chupuchupu kupoteza kiti chake I Mirindimo
13th July, 2018
Kwenye makala ya mirindimo tunaangazia kurejea kwa siasa kwa mpigo, Alfred Keter akiponea chupuchupu kupoteza kiti chake wanafunzi wanaotia moto shule, na naibu rais William Ruto akijiondoa kwenye mdahalo wa madeni hapa na pale