Shule zilizobadilishwa jina baada ya ziara ya kwanza ya Obama alivyokuwa Seneta
13th July, 2018
Shule ya msingi na ile ya upili zilizojulikana awali kama Nyangóma Kogelo zilibadilishwa na kuita seneta obama rasmi mwaka wa 2015 kwa heshima ya aliyekuwa rais wa Marekani Barack Obama anayetarajiwa nchini