Wadudu wenye nambari mgongoni washangaza Taita Taveta
13th July, 2018
Wakazi kijiji cha josa kaunti ya Taita Taveta wameshangazwa kugundua mnao wadudu wenye nambari migongoni mwao eneo hilo. Miongoni mwa nambari migongoni mwa wadudu hao ni 33, 35,36 na 11